Ama kwa hakika hii ilikuwavni burudani mechi classic kabisa. Simba inaonekana viwanja visivyokuwa kwenye kiwango vya mikoani vinawasumbua sana kutandaza kabumbu.
Ama kwa hakika hii ilikuwavni burudani mechi classic kabisa. Simba inaonekana viwanja visivyokuwa kwenye kiwango vya mikoani vinawasumbua sana kutandaza kabumbu.
To be honest, mechi ilikua classic tofauti na ile ya jana ya kukamiana. Ni bonge la mechi kwa kweli
Kesho pia kuna mechi kali sana only wasipokamiana yaani Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar!
Kumbe hawa Simba wamemrudisha mchezaji wao yaani Mussa Hassan Mgosi? Nmeshangaa kumuona. Hata hivyo Simba walikosea sana. Kule alikoenda aliwika sana Mgosi Mussa!