Nadeclare kuwa mshabiki haswa wa Simba ila kwa aina ya mchezo wetu hatuwezi fika popote asee.
Ukiangalia uwezo wa timu upo chini halafu timu haina morari kabisa,yani kama wamelazimishwa asee dah! Namshukuru sana mungu kutolewa kuepuka dhahma na maumivu ya kufungwa na Yanga!