Mapenzi

Nabiimleke

Member
Joined
May 1, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Hivi utafanyaje?
Umemuaga mkeo unasafiri kikazi kumbe unaenda kulala gest na demu.sasa gest uliyoingia na mke wako kaingia na buzi lake milango inatazama wewe unatoka na mkeo anatoka utafanyaje?
 
as long as ni muda wa kutoka, no way utatoka tu!

mwanaume kaumbiwa shida, mwanamke nae kaumbiwa problemeee!

cha kufanya ni kufanya new linear programming tu kwenye mchepuko!!!! whose mistake is that?
 
no one..! But each one have to regret
 
Mnaongozana kutufi nyumbani

Maana kilichowapeleka gesti mshakikamilisha
 
vous devez pardonner les uns les autres et de commencer une nouvelle page.
 
Hivi utafanyaje?
Umemuaga mkeo unasafiri kikazi kumbe unaenda kulala gest na demu.sasa gest uliyoingia na mke wako kaingia na buzi lake milango inatazama wewe unatoka na mkeo anatoka utafanyaje?

Kila mtu kimpango wake.

Umekuja kivyako na kuondoka kivyako

Tukutane home
 
hahaha mi nasema nilienda kuangalia video kule nabadili mazingira....
 
Hapo inategemea nani kachukua kitu kizuri kama mwanaume umebeba binti kacmama umeshnda wewe au kama mama ndo kachukua ka HB kaz unayo coz wanaume wanawivu sana
 
Aliyeaga kuwa anasafiri aendelee na safari yake japo ni feki na aliyekuja kwa muda basi arudi home, baada ya muda wapigiane simu kujua kama mmoja amefika salama kwenye safari na mwingine ameshinda salama na familia......maisha yaendelee.
 
Hivi utafanyaje?
Umemuaga mkeo unasafiri kikazi kumbe unaenda kulala gest na demu.sasa gest uliyoingia na mke wako kaingia na buzi lake milango inatazama wewe unatoka na mkeo anatoka utafanyaje?

Alieuza cheni kapewa pesa bandia na alienunua cheni kapewa cheni bandia
 
If i was the one i should have leave him never need him anymore
 
Hapo mwanaume ndo yuko kwenye shida zaidi maana anamakosa mawili.
1. Kudanganya kuwa amesafiri
2. Uzinzi

Mwanamke ana kosa moja, la uzinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…