Mapenzi

Kinachokumaliza zaidi ni hofu na uoga. Mapenzi kwa sehem kubwa yanaongozwa na hisia.

Fanya mazoezi kwa wingi.
 
NImeshamaliza mkuu
Huu uandishi si WA MTU aliyemaliza form four na kuendelea.... Umemaliza LY?

BY THE WAY, BADILI LIFE STYLE, ACHA KULA VYAKULA VYA KUSINDIKWA VIWANDANI.... piga vya asili
 
Mkuu unaelekea kuwa shoga
Coment ako inanionyesha uhalisia wako jinsi ulivyo sjui ni kutofikiri na kutafakari najua akili unayo ila nimeomba msaada uwezi kumjib mt ivyo. Asante sana leo kwangu kesho kwako
 
Matatizo ya maisha na stress zilizoletwa na ccm ndo zimewafikisha watu hatua hii.

Pole,kubaliana na hali,fanya mazoezi,Kula,kunywa maji Sana,hasahasa kuwa happy,huru, utaona matokeo yake.
 
Pole sana...

Mwanaume utakaaje miaka2 bila sex... Punguza kusikilizia sana mpaka unamaliza mapema...


Cc: mahondaw
 
jitahidi kukocontrol ejaculation sio unaingia tuu na unaanza kusukuma....mimi masturbration ilinisaidia maana nilikua nakojoa kama dk 2 ila nikawanajaribu kwa masturbration hata dk 4o nikiingia ulingoni ni kama dk 25 ndio nakojoa inasaidia ila unategemea unapiga vipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…