Muda sasa nimeachaAcha punyeto jomba
Cjakuelewa mkuuAcha kupulizana endelea kuwa mwanachama hai wa CHAPUTA.
Subiri umalize Shule Mkuu... Usiwe na paparaCjakuelewa mkuu
Umefanya vizuri kuachana na CHAPUTA. Sasa ni muda wa wewe kutafuta tiba na kubadili lifestyle yako. Anza kutumia vyakula vya kiasili zaidi brother,Muda sasa nimeacha
Bora hata wewe unakwenda hata 30 sec,Jamani naomba msaada nilikuwa na muda mrefu xja sex kama 2 years na baada apo ninapoanza sex hata 30sec haziishi namaliza shoo na ngoma haiamuki tena na tatizo hili limenitokea kama mara saba ivi naombeni msaada wowote wa mawazo ushauri na tiba pia niepukane na jambo hili linanipa hofu sana
NImeshamaliza mkuuSubiri umalize Shule Mkuu... Usiwe na papara
Io kitu sio ya kucheka mkuuUmefanya vizuri kuachana na CHAPUTA. Sasa ni muda wa wewe kutafuta tiba na kubadili lifestyle yako. Anza kutumia vyakula vya kiasili zaidi brother, Bora hata wewe unakwenda hata 30 sec,
Kuna msela alidondosha gori lake kabla hajaingiza hata mkuyenge.
Alipotuambia tulimsikitikia sana, ila tulicheka sana aisee!
Hujafa hujaumbikaUlichokuwa unakifanya ndani yahiyo miaka miwili ndio endelea nacho mkuu usitujazie jam huku
Nitapataje io tiba mkuuPole sana boss. Anza tiba
Duh kauli nzito hii mkuu sorry kama ulikuwa nachangamotoHujafa hujaumbika
Mkuu unaelekea kuwa shogaJamani naomba msaada nilikuwa na muda mrefu xja sex kama 2 years na baada apo ninapoanza sex hata 30sec haziishi namaliza shoo na ngoma haiamuki tena na tatizo hili limenitokea kama mara saba ivi naombeni msaada wowote wa mawazo ushauri na tiba pia niepukane na jambo hili linanipa hofu sana