Nime waeleza mkuu na sirudi nyuma niliye naye tunapendana na hamna shida kilicho niboa nikuwa yeye ameenda huko kutanga tanga leo hii anaona nafaa???Hapo ni kuwaambia ukweli mwanzo hadi mwisho. Ikiwa ni pamoja na kuwaeleza wazi wazi, "Nikimuacha huyo niliye naye nitakuwa sijamtendea haki na nafsi yangu inasema sitakuwa na amani tena". Kwangu mimi sitotegemea kubadili msimamo, labda kama uhusiano ulio nao uko katika mashaka nikiwa na maana ya kuwa hauko level fulani ambayo unaweza kukosa amani lakini bado siyo sababu ya kurudiana na huyo Ex - G kwa jinsi alivyofanya.
Ni kweli jibu lipo ila inaumiza sana kuwa wakati unampenda mtu anakuona mambo fulani ila akishatendwa huko ndo anakukumbukaJibu mbona unalo?? kama hakukuona una thamani yoyote kipindi kile itakuwa sasa hivi?
Achana nae hakufai yeye na mama ake watakuja kukupa presha, wamama wanaoingilia mahusiano ya watoto wao huwa wanaendelea mpaka mkiwa ndoani, na mpaka umeleta humu inaonekana umeshalainika, shauri yako sie tunasubiria tu thread ingine ooooo sijui mama mkwe ananiingilia na mke wanguNi kweli jibu lipo ila inaumiza sana kuwa wakati unampenda mtu anakuona mambo fulani ila akishatendwa huko ndo anakukumbuka
Hapana silainiki nimeshaamua kimoja sirudi nyuma kuhusu mama kuingilia mahusiano sikufichi ni kweli nikiwa chuoni nilikuwa choka mabya siunajua tena yule mama alitamka kuwa mwanaye haolewi na mtu ambaye hana hata suruali sasa leo sababu nina kazi na maisha yanaenda nafikiri ndo maana mama anashadadiaAchana nae hakufai yeye na mama ake watakuja kukupa presha, wamama wanaoingilia mahusiano ya watoto wao huwa wanaendelea mpaka mkiwa ndoani, na mpaka umeleta humu inaonekana umeshalainika, shauri yako sie tunasubiria tu thread ingine ooooo sijui mama mkwe ananiingilia na mke wangu
pole sana kaka usijali hata mimi nimemwomba Mungu amenipa nguvu nasonga mbele sirudi nyumaWazazi weng wanaharibu mausiano ya watoto yao kwasababu ya visingiziyo ving sana. Lakini nilazima ujuwe, mwanamke atakaye kupenda kutoka moyon mwake atakupenda hata kwa gharama yakifo out of that don't don't west ur tm. Yamenikuta hayo nasiwez kusahau,ila NILIJIPA MOYO NAKUAMINI HAKUNA GUMU MBELE ZA MUNGU,TENA MKE WANGU YUPO NA SIITAJI KUUMIA B'COZ OF LOVE
Achana nae hakufai yeye na mama ake watakuja kukupa presha, wamama wanaoingilia mahusiano ya watoto wao huwa wanaendelea mpaka mkiwa ndoani, na mpaka umeleta humu inaonekana umeshalainika, shauri yako sie tunasubiria tu thread ingine ooooo sijui mama mkwe ananiingilia na mke wangu