nooo hapo hajafaa.. ila alitaka kujiua afu akawa amekua saved kwaiyo wewe kama mzazi unaitwa chuo ama shule unaambiwa mwanao alitaka kujiua kisa mapenzi.. je huyo mtoto unamfanyeje?Sasa utafanyaje wakati tayari amejiua? Huwezi kuzuia matokeo!
(OUT OF TOPIC).. Aunt Lisa MI NAJARIBU KUTAFAKARI SIGNATURE YAKO NA ULICHOANDIKA....
nooo hapo hajafaa.. ila alitaka kujiua afu akawa amekua saved kwaiyo wewe kama mzazi unaitwa chuo ama shule unaambiwa mwanao alitaka kujiua kisa mapenzi.. je huyo mtoto unamfanyeje?