ni ngumu kujua, lakini kwa haya machache utaju.
1 anapenda kukutazama hasa kwa kuibia, pia mkiwa pamoja anakuangalia machoni utaona macho yake.
2 kama ni marafiki au mko karibu, angalia mguso wake, atakushika mikono, bega, mkiwa kwenye public.
3 atapiga simu kila siku na pengine mara kadhaa kwa siku
4 atakuwa tayari kukusaidia pale upatapo shida
5 atapenda kwa nawe popote
6 atakuhadithia maisha yake ya zamani mabaya na mazuri pia.
na mengineyo mengi.