Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Imebainika:wanandoa wanaweza wakaa mwezi mzima wakashiriki tendo la ndoa mara mbili tu na hali wanalala chumba na kitanda kimoja na pia wanaelekea upande mmoja,....
Hyo mara mbili kwa mwezi nakataa, mayb ungesema kwa wiki.
kwa wiki? mbona kazi sana....... mmmh ngoja nikiingia nitajua
mara mbili kwamwezi ni enough kabisa..........
ndio wikia nzima huna hamu sasa ilioa ili iweje??Huwezi kula chakula kama huna hamu wala njaa!