Mapenzi ya sasa hayana ladha

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
519
Reaction score
1,553
Wanan jf.

Kwa sasa wanawake wetu mtaani wamekuwa warahisi sana katika kututunuku Tunda.

Yaani kwa miaka ya zamani ,ilikuwa inatumia muda mrefu sana katika mchakato wa kutongoza hadi kufika hatua ya kuchakata papuchu.

Ila Leo hii ukimtongoza mtoto asubuhi jioni tayari.

Leo mapenzi yamekuwa rahisi, hadi wanaume tumepoteza hisia.

Kiukweli wanawake wa zama hizi wao ndio wanatongoza.

Wako mawindoni kuanzia barabarani, kanisani,bar .

Kiukweli zama zimebadilika na ladha ya mapenzi hakuna tena
 
Mpaka yanaboa imagine mtu anakukonyeza huku anakulambia lips [emoji105] library mdaa wa kusoma gai mara atanue miguu mara akuaangalie kwenye discussion kama movie vile mara akutetee ukinyanyaswa na mtu ghai

Na hujatoa neno lolote [emoji17] nikiongea sasa [emoji58] si nitakuwa mfalme wake

#mapenxi ya gemeration Z hayakoshi tena [emoji848]#
 


Wamekurahisishia kazi hao, hujafurahi?

Halafu usijumuishe kila mtu kwenye hilo jambo, watu hawafanani
 

Sijaelewa.

Hebu andika kwa KISWAHILI.

#YNWA
 
Sijaelewa.

Hebu andika kwa KISWAHILI.

#YNWA
Nasema kuna watu wanakuonyesha dhahiri kuwa wanakutaka visa
1. Nilikuwa kwenye majadiliano ya biology shule flani hivi form 4 hapo mara nikaona demu wa opposite group ananishangaa kwa muda mrefu nikampotezea baadae nasikia ananicrush wahi πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” tupa huko
2. Huyu mwingine kwenye maktaba hivyo hivyo mara anawaambia wenzake ananikubali wahii tupa huko πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
3.huyu mke wa mtu alikuwa accountant wa shule eti anapenda urefu wangu na kunirembulia rembulia wahi tupa huko πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
4. Huyu sista wa kikatoliki kabisa .eti ninamwonekano mzuri ananiamba kabisa live bila chenga mara oohh demu wako anafaidi wahi tupa huko πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
It goes on and on and on 🀯


Ngojaa niishie hapo πŸ˜’
 

Dah we jamaa ni mzembe aisee na hiyo namba 4 ndio mzembe kabisaa.

Hiyo fursa ya 4 hukuruhusiwa kuiacha kabisaaa...!!!!

#YNWA
 
Mkuu upo kwenye masomo ya kusomea upadre! Una moyo mgumu kama yesu[emoji14]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dah we jamaa ni mzembe aisee na hiyo namba 4 ndio mzembe kabisaa.

Hiyo fursa ya 4 hukuruhusiwa kuiacha kabisaaa...!!!!

#YNWA
Mdaaa huo nilikuwa sina mzuka ila alikuwa ana mitako sana alafu mkenya si unajua tena wahi nikamtupa tu ni focus na masomo ila urefu wangu unanibebaga sana ningekuwa andunje duuh ingekuwa ni mahangaiko lol 🀣🀣🀣
 
Mkuu upo kwenye masomo ya kusomea upadre! Una moyo mgumu kama yesu[emoji14]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Misimamo ni muhimu ndugu yangu hiii nimejifunza kutoka kwa uncle wangu mmoja ni dereva tax naye ana visa hivi hivi kama vyangu ila anavichomoaga maana ni mtu wa Mungu sana 😹 πŸ˜’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…