Mapenzi ya kujionesha mnapendana

Subiri kwanza,huyu alieandika chefuuuu ni mwanaume au mwanamke?
 
weka Picha basi ya hako kamanzi ka saloon

na sisi tuthaminishe ukute sisi tutakapiku kajamaa kwa kutoa IphoneX
 
Mm kuna mdada nilimpenda sn humu baada ya kuona atanizuzua nimeamua kujiweka mbali [emoji41]
 
hahaaa kawanyoosha kweli kweli" mamaee",wambea wote macho yamewatoka Kama mjusi kabanwa na mlango"... mlidhani jamaa ataachana na manzi wake lakini wapi" ndio kwanza kama coca cola imetikiswa hivi halafu ikafunguliwa kisoda
Tunapata tabu sana lakin tusikate tamaa ,ila akimuacha tu huyu demu ,nakamata nakaoa
 
Mwanamke huyu, si kwa maneno haya
Mi mwanaume ila Kuna tamthilia inaitwa sultan iko Azam 2 ndo Kuna jamaa anaitwa sumbra anatumia sana Hilo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…