Sasa wewe ni mwanamke au mwanaume .?ooon,halafu mara kamlishe mara kamfute jashoo cheeefuuu.
Inabidi sasa uwazidishie mbwembwe[emoji23]Mkuu kumbe mnaniombeaga mabaya et eeeh mimi na manzi wangu.....Hiyo ni trailer tu picha linakuja mkuu
Mkuu Tumsifu Yesu Kristu!Sasa wewe ni mwanamke au mwanaume .?
"Kujichoresha" kuwa makini na unachoandika siku nyingine unaweza kutuandikia tusi hapakujicholeshaa.
Hahaha nilichokipenda mpaka hapa, naona nmefanikiwa kukulazimisha usome na kufatilia kila andiko langu[emoji23][emoji123]"Kujichoresha" kuwa makini na unachoandika siku nyingine unaweza kutuandikia tusi hapa
Jifunze Kiswahili basi, Nashindwa kusoma hata madudu yako haya!Hahaha nilichokipenda mpaka hapa, naona nmefanikiwa kukulazimisha usome na kufatilia kila andiko langu[emoji23][emoji123]
Ungekua mwanamke, nimeshakutongoza maana unaonyesha kila Sign anazoonyesha mwanamke anapokua kampenda mwanaume.
Moja wapo niilo, anakua Attention sana kufatilia kila neno na analisikiliza au kulisoma kwa umakini sana !!
Yani hawa mbona wataelewa,mkuu subiri ataleta feedback yeye mwenyewe kama alivyoleta ushuhuda hapaInabidi sasa uwazidishie mbwembwe[emoji23]
I swear, hata mademu wao watajikuta wanataman wawe nawewe
"Kama ni mjanja unayejua akili za wanawake, utakua umenielewa"
hahaaa kawanyoosha kweli kweli" mamaee",wambea wote macho yamewatoka Kama mjusi kabanwa na mlango"... mlidhani jamaa ataachana na manzi wake lakini wapi" ndio kwanza kama coca cola imetikiswa hivi halafu ikafunguliwa kisodaWakuu salaam!
Kwa tamaduni zetu za kiafrika asee hii wanaume wengi wenye rangi ya lami inatupa tabu sana.
Sasa Kuna kajamaa kamehamia mtaani kwetu ukweli kajamaa kanatucholesha sana kwani kana tabia njema na heshima kwa wakubwa sio kalevi .
Katika pita pita Kakamkamatia penzini kicheche mtaa wa saloon ,tatizo jinsi kanavyojua kujionesha kanatembea kamemshikia pochi na mkono barabarani ,hakana muda na wanaume wenzie kila saa na kademu kake.
Kwenye birthday yake mwanzo wa mwaka kalishusha bonge la part na surprise ya I phone 7 ooh come ooon,halafu mara kamlishe mara kamfute jashoo cheeefuuu.Tulitabiri hii makitu huwa hazidumu ahh asee dogo kaamua kutuprove wrong ,this guy must be from alien world.
Wakuu hii sio itamfanya dogo aje jiua maana kalilea vizuri Toto limenona balaa .