🤣🤣Mume: Wasiliana na Kitengo Cha Dharura
Hospitali Mke Wangu Nahisi Vibaya Kama
Nakufa
Mke: Nipe Password za Simu Yako Niwapigie
Mume: Au Basi Acha Tu Maana Kila Nafsi
Itaonja Umauti..
Mapenzi ya kibongo sawa na umeme wa
TANESCO,
Muda wowote yanakatika, unatakiwa uwe na
KIJENERETA kidogo pembeni,
Ukifanya Bwiiiiii...!
Na wewe unawasha mmwaaaaaaaa!!!