Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Aug 14, 2013 #1 ^^ Kwa kutumia sentensi moja,,yaelezee mapenzi ya kizazi cha digitali,unavyoyaona. Mimi naona kuwa; .. Yana kupwa na kujaa kama maji ya bahari. .. Wewe unayaonaje? ^^
^^ Kwa kutumia sentensi moja,,yaelezee mapenzi ya kizazi cha digitali,unavyoyaona. Mimi naona kuwa; .. Yana kupwa na kujaa kama maji ya bahari. .. Wewe unayaonaje? ^^