Mapenzi vs Hisia

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,422
Hivi vitu ni kama mashindano ya michezo maana lefa wake ni pesa,muonekano,mazoea,historia,malipo,fazila,maisha,umaskini na n.k.

Mapenzi vs hisia ndio vinaweza kuleta majibu kama madishi kuyumba,visasi,vituko,ukichaa,umaskini,ulevi ,utajiri na n.k

Mapenzi vs hisia ndio janga ambayo mwanadamu kashindwa kuzibiti duniani.

Vitu vinavyo sababishwa na mapenzi vs hisia !

Sanaa
Michezo
Mahusiano
Kazi
Taaluma

na n.k
 
Kipi ni kikubwa ambacho lazima kianze ndio kingine kifuate? Yaani kipi kimebeba kingine? Hisia au Mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…