Mapenzi ni raha sana ukimpata mtu anayekurudishia energy ile ile unayompa wote mnapendana kwa asilimia sawa 50/50 ,
Ukiona wewe kila siku ndio unamtafuta mwenzako au unaonesha kujali sana kuliko wewe anavyo kujali usihangaike na huyo mtu hakufai . Tumeelewana