Hivi hako ka style ka kurusha miguu nani alimfundisha?? Kila picha lazima apige hivyo ,Mbuta hunipa raha kwelii
Hivi hamna hata sindano ya kuchoma au mafuta ya kupaka ili miguu na paja zake zijae
Halaf huyu Mbuta na Federin ni ndugu? ? Maana wanafanana