halfankp_sniper Member Joined Mar 21, 2015 Posts 17 Reaction score 3 Apr 26, 2015 #1 Hivi kweli mapenzi ni ugonjwa kama ni ugonjwa kwanini watafiti wasitafutie dawa? Kila sehemu siku hizi ukimkuta msichana ama mvulana akizungumzia mapenzi basi lazima yawe mapenzi yenye maumivu. Je haya mapenzi nini hasa? Karibuni tujadiliane
Hivi kweli mapenzi ni ugonjwa kama ni ugonjwa kwanini watafiti wasitafutie dawa? Kila sehemu siku hizi ukimkuta msichana ama mvulana akizungumzia mapenzi basi lazima yawe mapenzi yenye maumivu. Je haya mapenzi nini hasa? Karibuni tujadiliane
C CHIEF JJ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,075 Reaction score 357 Apr 26, 2015 #2 ngoja waje wakitoka church maana hata mimi sielewi kitu
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,190 Apr 26, 2015 #3 Fumbo la vizazi ^^