Mapenzi ni kuhitajiana .. (18+)

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,713
Reaction score
17,319
Mara nyingi katika mahusiano wake zetu huwa hawako tayari kuonyesha hisia zao. Kwamba wanatuhitaji.
Yani mnaweza mkakaa siku nzima home, mmekula, mmeoga, mnaenda bed. Bado unakuta mke hana nyege na wewe...

Kwamfano hii loong weekend.. utakuta wako bize na vikoba, vikao vya harusi na marejesho.

Ok! Rejesha unayo rejesha..
Kwa bed nako unarejesha nini?..
Unakuta mke haanzi kukushika.. haanzi kuonyesha anakuhitaji. Ukianza wewe utaskia anasema "nimechoka". Umechokaa!!!??

Umechokaa nini siku nzima umekesha na makundi yako WASAP .!?

Somo kwa faida ya wote. Ukiamua kuwa Mke .... Kuwa Mke.

Nikikuhitaji... Nawe Nihitaji. โค๏ธโค๏ธ
 
Mpe hela ukiingia tu chumbani unakuta mguu bara mguu pwani na imeloa tayari......

Mtu anawaza madeni yake saa ngapi hata atakua na hamu, utaipigaaa kavu kama mti hata haishtuki
 
ukiwa huna hela hata mbunye ya mkeo niyakupigania .hoe-hae mnateseka sana na mapenzi
Hahaaaaa sasa mkuu ina maana wasiokuwa matajiri wasioe, watu wengi hamjui maana ya ndoa, huyo mke wako baba yake alikuwa tajiri? Mbona kamuoa mama yake hadi kazaliwa huyo mke wako? Ndoa ni jambo jema kutoka kwa mungu na mungu ndio anapanga lini akupe rizki na lini asikupe, msiharibu maana ya ndoa kwa sababu za kishetani
Magufuli alikuwa na wazazi wote masikini lakini masikini wale wakazaa raisi wa nchi, mungu ana njia zake tuendelee kufuata njia za mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ