davibby JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 318 Reaction score 249 Feb 5, 2019 #1 Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Kwann wanawake weng wanaotafuta wanaume wakuwaoa unakuta wanataka mwanaume aliyemzid umri miaka kuanzia 3 nakuendelea? Umri unanini kwenye mapenz na mahusiano kwa ujumla? Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Kwann wanawake weng wanaotafuta wanaume wakuwaoa unakuta wanataka mwanaume aliyemzid umri miaka kuanzia 3 nakuendelea? Umri unanini kwenye mapenz na mahusiano kwa ujumla? Sent using Jamii Forums mobile app
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,960 Reaction score 183,578 Feb 5, 2019 #2 Ukikua utajua.
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,705 Feb 5, 2019 #3 Mimi wangu nimempita na mmiaka nane Sent using Jamii Forums mobile app
davibby JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 318 Reaction score 249 Feb 5, 2019 Thread starter #4 espy said: Ukikua utajua. Click to expand... Tujuzane sababu ambazo huwa zina afanya mchagua umri huo Sent using Jamii Forums mobile app
espy said: Ukikua utajua. Click to expand... Tujuzane sababu ambazo huwa zina afanya mchagua umri huo Sent using Jamii Forums mobile app
davibby JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 318 Reaction score 249 Feb 5, 2019 Thread starter #5 Agustino87 said: Mimi wangu nimempita na mmiaka nane Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kidogo angukuwa mwanao Sent using Jamii Forums mobile app
Agustino87 said: Mimi wangu nimempita na mmiaka nane Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kidogo angukuwa mwanao Sent using Jamii Forums mobile app
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,705 Feb 5, 2019 #6 davibby said: Kidogo angukuwa mwanao Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndo hajawa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
davibby said: Kidogo angukuwa mwanao Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndo hajawa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,740 Reaction score 134,817 Feb 5, 2019 #7 Kuna sbb 2 kubwa: 1/. Wanaume wanachelewa ku mature kichwani. 2/. Wanawake wanachoka mapema...kama upo 24 ukachukua 24, by the time mnatimiza 44 utam-dump, maana atakuwa ka Bibiako!
Kuna sbb 2 kubwa: 1/. Wanaume wanachelewa ku mature kichwani. 2/. Wanawake wanachoka mapema...kama upo 24 ukachukua 24, by the time mnatimiza 44 utam-dump, maana atakuwa ka Bibiako!