Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
si ndo hapo! Yani muda wote ananjaa tu!!! Sijui anaminyoo!!
Huyo mkeo ilikuaje akaolewa na ww coz unaakili za kuuzia vitumbua!
kweli kabisa dah!!mwezio kaja kuongeza posts zake jamvini.
Kijana msichana wa miaka 18 ametokea kunipenda yeye amesoma hadi std VII sasa ni h/girl mimi ni mtu wa ndoa je nifanyeje?