Mapenzi na huzuni

shabaan Dogo

Senior Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
196
Reaction score
82
Mungu ameumba upendo na chuki. Shida na raha.

Kupasi na kufeli faraja na huzuni lakini kwangu naona tofauti sana kweni huzuni majonzi vimenitawala sana mapenzi kwangu yamekua fimbo uwazi wangu uwaminifu na ukweli katika mapenzi ndio tatizo nabaki naumia sielewi ni yupi atakae kua mkweli kwangu nahitaji mpenzi nitakae funganae pingu za maisha siku zote sipendi kudanganya nahitaji faraja ya mapenzi ya kweli mapenzi yanaumiza sana..........

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Android hii, funga ndoa kaka mkubwa mkeo atakupenda sana na kukuheshimu, utasahau yote
 

husitegemee kupata mpenzi wa ukweli kwa kutangaza hivi. watakumegua na kukuacha tu
 
Penda lakini usifumbe macho yote walau moja liwe wazi mkuu...
 

Attachments

  • 1399635433837.jpg
    7.4 KB · Views: 81

good rhymes... wimbo gani huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…