kwenzi JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 669 Reaction score 666 Oct 15, 2017 #1 Dada niliye kuwa nampelekea kwa bwana ake na ka usafir kangu kupigwa paipu mwishoe akaishia kuwa demu Wangu wa nguvu. Dada aliye kuwa ananitafutia mademu baadae kunitafutia Mke ili nioe mwishoe akaishia kuwa Mke Wangu na watoto juu..
Dada niliye kuwa nampelekea kwa bwana ake na ka usafir kangu kupigwa paipu mwishoe akaishia kuwa demu Wangu wa nguvu. Dada aliye kuwa ananitafutia mademu baadae kunitafutia Mke ili nioe mwishoe akaishia kuwa Mke Wangu na watoto juu..
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Oct 15, 2017 #2 Kwa mara ya kwanza nimewahi siti...nitarudi
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,749 Reaction score 91,818 Oct 15, 2017 #3 Hihihihi kweli upofu mkuu.
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,200 Oct 15, 2017 #4 Ungekuwa kapuku husingekuja na huu uzi
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,178 Reaction score 73,982 Oct 15, 2017 #5 Kwahiyo wewe ni kuwadi na domozege kwa mpigo!!! Wajomba zangu wasirithi hiyo tabia.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Oct 15, 2017 #6 Kweli mapenzi kutoboana macho
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,082 Reaction score 6,086 Oct 15, 2017 #7 Hahah...kwo wakati una muoa unamaanisha haukufahamu kuwa ni yeye mkuu? Hatari sana.
Mr meja Member Joined Oct 1, 2017 Posts 85 Reaction score 110 Oct 15, 2017 #8 kwenzi said: Dada niliye kuwa nampelekea kwa bwana ake na ka usafir kangu kupigwa paipu mwishoe akaishia kuwa demu Wangu wa nguvu. Dada aliye kuwa ananitafutia mademu baadae kunitafutia Mke ili nioe mwishoe akaishia kuwa Mke Wangu na watoto juu.. Click to expand... Mapenzi kweli ni upofu aliyekuwa demu wangu sasa ameolewa na kaka yangu
kwenzi said: Dada niliye kuwa nampelekea kwa bwana ake na ka usafir kangu kupigwa paipu mwishoe akaishia kuwa demu Wangu wa nguvu. Dada aliye kuwa ananitafutia mademu baadae kunitafutia Mke ili nioe mwishoe akaishia kuwa Mke Wangu na watoto juu.. Click to expand... Mapenzi kweli ni upofu aliyekuwa demu wangu sasa ameolewa na kaka yangu
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,943 Reaction score 15,678 Oct 15, 2017 #10 Kwa iyo mke wako sasa hivi anawatafutia mademu jamaa wengine
kwenzi JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 669 Reaction score 666 Oct 15, 2017 Thread starter #11 Blank page said: Hahah...kwo wakati una muoa unamaanisha haukufahamu kuwa ni yeye mkuu? Hatari sana. Click to expand... Alijua mkuu ndio hivyo mapenzi ni upofu ukipenda umependa tu hautaki kuskia mengine
Blank page said: Hahah...kwo wakati una muoa unamaanisha haukufahamu kuwa ni yeye mkuu? Hatari sana. Click to expand... Alijua mkuu ndio hivyo mapenzi ni upofu ukipenda umependa tu hautaki kuskia mengine
kwenzi JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 669 Reaction score 666 Oct 15, 2017 Thread starter #12 Mr meja said: Mapenzi kweli ni upofu aliyekuwa demu wangu sasa ameolewa na kaka yangu Click to expand... Duuh hiyo Kali mkuu
Mr meja said: Mapenzi kweli ni upofu aliyekuwa demu wangu sasa ameolewa na kaka yangu Click to expand... Duuh hiyo Kali mkuu
kwenzi JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 669 Reaction score 666 Oct 15, 2017 Thread starter #13 Antonio de Guzman said: Kwa iyo mke wako sasa hivi anawatafutia mademu jamaa wengine Click to expand... Hapana anadumisha ndoa yake
Antonio de Guzman said: Kwa iyo mke wako sasa hivi anawatafutia mademu jamaa wengine Click to expand... Hapana anadumisha ndoa yake
kwenzi JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 669 Reaction score 666 Oct 15, 2017 Thread starter #14 Castr said: Kwahiyo wewe ni kuwadi na domozege kwa mpigo!!! Wajomba zangu wasirithi hiyo tabia. Click to expand... Hakuna ukuwadi hapo walipo patana mie sikuwepo Bali tulipo zoeana alikuwa anaweka mafuta kwenye usafir nampeleka kupigwa mapaipu..
Castr said: Kwahiyo wewe ni kuwadi na domozege kwa mpigo!!! Wajomba zangu wasirithi hiyo tabia. Click to expand... Hakuna ukuwadi hapo walipo patana mie sikuwepo Bali tulipo zoeana alikuwa anaweka mafuta kwenye usafir nampeleka kupigwa mapaipu..
Pracho Senior Member Joined Jun 25, 2017 Posts 108 Reaction score 74 Oct 15, 2017 #15 Hahaha kweli upofu Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,935 Oct 15, 2017 #16 Mapenzi bhaaana! Hayana definition sahihi. Mapenzi upofu, mapenzi ububu, mapenzi kizunguzungu, mapenzi Pesa, n.k. Hongera mkuu kwa kupata mke
Mapenzi bhaaana! Hayana definition sahihi. Mapenzi upofu, mapenzi ububu, mapenzi kizunguzungu, mapenzi Pesa, n.k. Hongera mkuu kwa kupata mke
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,507 Oct 15, 2017 #17 kwa hiyo tufanyaje?
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,082 Reaction score 6,086 Oct 15, 2017 #18 kwenzi said: Alijua mkuu ndio hivyo mapenzi ni upofu ukipenda umependa tu hautaki kuskia mengine Click to expand... Ila ulikuwa unampenda nawe mkuu.
kwenzi said: Alijua mkuu ndio hivyo mapenzi ni upofu ukipenda umependa tu hautaki kuskia mengine Click to expand... Ila ulikuwa unampenda nawe mkuu.
Jiwedogo JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 2,811 Reaction score 4,098 Oct 15, 2017 #19 kwenzi said: Dada niliye kuwa nampelekea kwa bwana ake na ka usafir kangu kupigwa paipu mwishoe akaishia kuwa demu Wangu wa nguvu. Dada aliye kuwa ananitafutia mademu baadae kunitafutia Mke ili nioe mwishoe akaishia kuwa Mke Wangu na watoto juu.. Click to expand... Waswahili walisema....... Kwenye safari ndefu, usije ufanya muwa kama mkongojo... Siunaona sasa.....
kwenzi said: Dada niliye kuwa nampelekea kwa bwana ake na ka usafir kangu kupigwa paipu mwishoe akaishia kuwa demu Wangu wa nguvu. Dada aliye kuwa ananitafutia mademu baadae kunitafutia Mke ili nioe mwishoe akaishia kuwa Mke Wangu na watoto juu.. Click to expand... Waswahili walisema....... Kwenye safari ndefu, usije ufanya muwa kama mkongojo... Siunaona sasa.....
Jiwedogo JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 2,811 Reaction score 4,098 Oct 15, 2017 #20 Kuna miss atakuja kupinga na kusema, mapenzi pesa tu