Part3:Nikawaza kutoa ni kuuwa kiumbe kisichokuwa na hatia,tukaenda kupima nikagundua kama ni kweli,kwa kuwa alishawaambia wazazi wake ikawa haina jinsi wakaniita nikakubali wito,baada ya kufika kule wakaniambia nichukue mzigo wangu kwa kuwa mila zao haziruhusu kukaa na binti wao akiwa ana mimba,nikawasihi sana wakae nae kama wiki2 ili nije kumchukua,
wiki mbili zikapita sikwenda kumchukua mwisho wa siku wakaamua kuniletea napokaa nikawa sina jinsi nikaamua kulea mimba na ss anamezaa mtoto ana miezi3,kilichopelekea kuandika uzi huu ni tabia zake:ni kiburi,anatoka nyumbani bila kuaga hata kama mm mwenyewe nipo home,akikosea hajui kuomba samahani,kabadilisha lock ya simu yake,facebook etc,
mm kuonyesha nipo tofauti nimempa password zangu zote ili aone sina kitu cha kuficha coz sina mchepuko lkn yy ameendelea na tabia zake licha ya kumuonya mara nyingi pia akikuta namba yeyote ya kike kwenye simu yangu anamtumia sms mbovu muhusika!,
Nifanyaje Waungwana????