Mapenz yanantesa

Kwa hiyo na wewe unaamini na kukubali kutishwa na huyu mtoto mdogo, umesema umeoa na una watoto, achana ina hizo imani potofu za huyo binti na ikimbie zinaa ili ulinde familia yako bwana.

Ukiendekeza itakula kwako kweli.

wengine hunena kwa vitendo mkaka.
 
This is childish..sorry to say that!
Kwa nini kusiwepo na jukwaa la watoto/teenagers?
 
Panda juu ya gorofa halafu jiachie, kama anakupenda atakufata huku unapokwenda.
 
ulipotoka nae ulimpa ahadi gani?
je ulipomuambia kwamba una mke na mtoto ulifikiri huyu mtoto wa shule atakuelewa?
unatishiwa kuuawa na mtoto wa shule? hawezi kukuua ila atakusema kwa mkeo, kwa hiyo usiogope sana.
 
ulipotoka nae ulimpa ahadi gani?
je ulipomuambia kwamba una mke na mtoto ulifikiri huyu mtoto wa shule atakuelewa?
unatishiwa kuuawa na mtoto wa shule? hawezi kukuua ila atakusema kwa mkeo, kwa hiyo usiogope sana.

asante bro, nimekupata, am slightly happy.
 
But na ww kua na akil co unafny vi2 ka -18 kwn muda unafny ivo hukujua na ili hal ushasema una familia!?
UTAFUNGWA WW...
NI MTAZAMO TU.
 
Utakoma na uzao wa zombie wewe kilichokuingiza hapo ni nn? Nyie ndio anko shukuru anaowatafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…