Mapato ya madini Tabora yafikia TZS170bn

John John Msakuzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
296
Reaction score
103
==
Mkuu wa mkoa Tbaora anasema Serikali imeimarisha sekta ya madini mkoani Tabora (2021–2025) na kufanikisha: uzalishaji kuongezeka kutoka tani 0.34 (2020) hadi 0.8 (2025).

Mapato ya kigeni kutoka USD 15,068,988.01 hadi USD 50,692,090.41; mapato ya halmashauri kutoka Sh 118,627,594.27 hadi Sh 399,063,343.30.

Masoko kutoka soko 1 na kituo 1 hadi soko 1 na vituo 5; na leseni za wachimbaji wadogo kutoka 136 hadi 574.

Jumla ya mapato yote kwa mkoa yanafikia TZS173,081,336,819.49 (Halmashauri na USD)


Shuguli20202025Tofauti
Uzalishaji wa madini (tani)0.340.80.46
Mapato ya kigeni (USD)15,068,988.0150,692,090.4135,623,102.40
Mapato ya kigeni (TZS)39,542,531,437.04133,021,114,444.8893,478,583,007.84
Mapato ya Halmashauri (TZS)118,627,594.27399,063,343.30280,435,749.03
Jumla ya mapato (TZS)39,661,159,031.31133,420,177,788.1893,759,018,756.87
Idadi ya masoko na vituoSoko 1, kituo 1Soko 1, vituo 5Vituo 4
Leseni za wachimbaji wadogo136574438




​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…