Mapapai yapo kwa bei nafuu

Mapapai yapo kwa bei nafuu

McKobas Aok

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
15
Reaction score
1
Habar ndungu wana JF nataka kujua kama kuna mtu anataka mapapai.Piga 06573332218 kwa maelezo zaidi
IMG_3636.JPG
IMG_3637.JPG
IMG_3638.JPG
IMG_3641.JPG
 
Ndo ukulima wa tz kwa hiyo hadi yanakuwa hukujua unauza wapi pole mkuu ,
USHAURI : nenda soko kuu la karibu mji unaoishi ulizia wafanyabiashara wa matunda ila bei zao ni za kulalia wananunua ,ila kama uko dar kodi gari peleka kariakoo uuze reja leja kwa wachuuuzi huyu mia ,50 ,40 mpaka gari iishe
 
Nashukuru kwa ushauri wako
 
Mkuu hongera sana naona yamekubali kisawasawa.
Nenda soko lolote lile utawapata wanunuz na watakuja shambani kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom