Jazzie Member Joined Jan 30, 2008 Posts 73 Reaction score 35 Feb 3, 2015 #1 MAPANKI, tamthilia ya kipekee inakujia hivi karibuni. Pata preview hapa : http://www.youtube.com/watch?v=Ysv6fSIhKqA Kwa habari zaidi: www. mapanki.com
MAPANKI, tamthilia ya kipekee inakujia hivi karibuni. Pata preview hapa : http://www.youtube.com/watch?v=Ysv6fSIhKqA Kwa habari zaidi: www. mapanki.com
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,213 Reaction score 18,455 Feb 3, 2015 #2 Mmmh hao watu tu mie hoiii ..samahan lakni
Jazzie Member Joined Jan 30, 2008 Posts 73 Reaction score 35 Feb 3, 2015 Thread starter #3 warumi said: Mmmh hao watu tu mie hoiii ..samahan lakni Click to expand... Hao watu tu hoii kivipi? Ningependa kusikia mtazamo wako na kile ambacho ulikitarajia...hasa ukizingatia hii ni sanaa na siyo lazima kila kitu kiwe kama cha Oysterbay/Masaki. Lete data.
warumi said: Mmmh hao watu tu mie hoiii ..samahan lakni Click to expand... Hao watu tu hoii kivipi? Ningependa kusikia mtazamo wako na kile ambacho ulikitarajia...hasa ukizingatia hii ni sanaa na siyo lazima kila kitu kiwe kama cha Oysterbay/Masaki. Lete data.