Mbona unawataja vidagaa ?
Labda nikusaidie:-
1.Mwenyekiti
2.Katibu
3.Katibu mwenezi
4.Endeleza list
Maana hawa wanapofanya vibaya ndipo wanapoipa nafasi cdm
kwa sababu naangaika bila kujua yeye pia nagombani madaraka kwa ajiri ya kupata ugali wa kuwalisha familia yake.siku CDM itapata kuongoza nchi mtaikumbuka CCM.
-(A BIG LIAR SHOULD HAVE A BIG MEMORY.)
Kwani CCM bado ipo mkuuu? hii nchi inajiongoza yenyewe. kama huamini fuatilia kauli za hawa wabunge na mawaziri wa iliyokuwa CCM ndo utajua kama CCM ilishakufa long time.
Sitta
nahodha
mwakyembe
nape (msemaji wa baba mwanaasha)
lowasa
Chenge
chiligati
Mukama
manumba
MAIGE