Taarifa kutoka Somalia zinasema kwamba kumekuwa na makabiliano makali milipuko ikisikika katika eneo la hoteli moja inayotumika kama makao makuu ya vikosi vya Afrika vya kulinda amani.
Walioshuhudia mkasa huo wanasema hoteli hiyo iliyopo katika mji wa Bulo- burde, imeshambuliwa na wanamgambo wa Al -shabaab.
Taarifa zaidi zitaujia hivi punde
Chanzo - BBC