Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,436
- 1,627
Hao wasomi kwelikweli watatoka wapi? Ni hawa waliofundishwa na profesa wa majalala? Siyo vibaya kuota mchana lakini jihadhari, kuna wakati unaweza kufikiria unaota kumbe mwanzo wa magonjwa ya akili. Hasa unapoona vitu vya ajabu ambavyo havipo.Haaahaaa!
Leo nimepata hisia za uandishi fikirishi. Nawaza ifikapo mwaka kesho 2020 ndani ya chama kikongwe na kikubwa Tanzania cha siasa ambacho ni chama Mama CCM nahisi kutakuwa na damu mpya au watu wapya kabisa kwa CCM kugombea hususani nafasi za ubunge zaidi na mbali yake nafasi za udiwani.
1. Ubunge itakuwa nahisi zaidi ya asilimia 90% wapya kabisa na wasomi kiukwelikweli walio na historia safi huko nyuma.
2. Udiwani itakuwa kama 75% wapya ndio wapya kabisa utake usitake ndivyo ninavyohisi. Haahaa cha ajabu watakuwa watu wasomi sana na huko pia na asilimia kubwa nahisi watakuwa vijana.
3. Viongozi waliopo sasa wajitafakari na wachukue hatua mapema kabisa kimwili na kiakili nawaambia hamtaamini macho yenu kabisa ila ndivyo ninavyohisi itakavyokuwa.
N.B
UCHAGUZI 2020 UTAKUWA UCHAGUZI WENYE USHINDANI MKUBWA SANA KWA VYAMA VYOTE NDANI NA NJE YAANI ZAIDI YA 2015 ILIVYOKUWA.
Mbarikiwe.
Wawe wapya au wa zamani,wawe wasomi au mbumbumbu bado wataitwa wana ccm na ndio hicho watanzania tumechoka nacho "CCM' ! hatuitaki CCM! CCM ni mkoloni aliyeingia baada ya waingereza hata waipake rangi kwa kiasi gani chamsingi ni CCM basi kwetu hatuitakiHaaahaaa!
Leo nimepata hisia za uandishi fikirishi. Nawaza ifikapo mwaka kesho 2020 ndani ya chama kikongwe na kikubwa Tanzania cha siasa ambacho ni chama Mama CCM nahisi kutakuwa na damu mpya au watu wapya kabisa kwa CCM kugombea hususani nafasi za ubunge zaidi na mbali yake nafasi za udiwani.
1. Ubunge itakuwa nahisi zaidi ya asilimia 90% wapya kabisa na wasomi kiukwelikweli walio na historia safi huko nyuma.
2. Udiwani itakuwa kama 75% wapya ndio wapya kabisa utake usitake ndivyo ninavyohisi. Haahaa cha ajabu watakuwa watu wasomi sana na huko pia na asilimia kubwa nahisi watakuwa vijana.
3. Viongozi waliopo sasa wajitafakari na wachukue hatua mapema kabisa kimwili na kiakili nawaambia hamtaamini macho yenu kabisa ila ndivyo ninavyohisi itakavyokuwa.
N.B
UCHAGUZI 2020 UTAKUWA UCHAGUZI WENYE USHINDANI MKUBWA SANA KWA VYAMA VYOTE NDANI NA NJE YAANI ZAIDI YA 2015 ILIVYOKUWA.
Mbarikiwe.
Ccm hain wasomi wa kutikisa.Hivi hujanusa kuoma ofisi za chama na Nec zikichomwa moto kwa sababu wamegoma kutangaza washindi halali?
Mi kila nikikaa naonan 70% ya raia wakiwa hawapo barabarani,hawapo kupiga kura bali wako kwao wametulia wakiangalia movie zilizotafsiriwa na taarifa ya habari mengine wanawaachia chama dola