Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 9,462 Reaction score 10,824 Nov 4, 2017 #1 Huyu Mh. wa Mikumi... nadhani ulikuwa ana maono au alifunuliwa kitu ktk maandiko ya miziki yake... hasa ukisikiliza huu wimbo wake wa Nang'atuka... kuna ujumbe ulio jitoshereza kwa viongozi wetu wa kiafrika...
Huyu Mh. wa Mikumi... nadhani ulikuwa ana maono au alifunuliwa kitu ktk maandiko ya miziki yake... hasa ukisikiliza huu wimbo wake wa Nang'atuka... kuna ujumbe ulio jitoshereza kwa viongozi wetu wa kiafrika...
prince john john JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,329 Reaction score 3,726 Nov 4, 2017 #2 Haya tumekusikia mkuu
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,645 Reaction score 46,746 Nov 5, 2017 #3 Mkuu kama utakuwa na ile nyimbo yake ya Machozi Jasho na Damu naomba uitupie hapa. Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Mkuu kama utakuwa na ile nyimbo yake ya Machozi Jasho na Damu naomba uitupie hapa. Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,962 Reaction score 8,932 Nov 5, 2017 #4 Hii nyimbo ikifika panapotakiwa Bashite atang'atuka hakika.