Maoni yangu kwa watanzania wote

Neewly

Member
Joined
Jun 9, 2021
Posts
5
Reaction score
3
Watanzania wenzangu nawaomba sana tuelewe jambo hili ambalo likizingatiwa litakuwa na faida kwetu na kwa vizazi vyetu na vijavyo.

[emoji778] Mtanzania mwenzangu unapotoa hoja au maoni hakikisha hukandamizi kabila la mtu, dini na imani ya mtu. Jambo hili limekuwa likijitokeza katika nyuzi mbalimbali, hali hii ikiendelea inaweza ikaleta mpasuko mkubwa baina yetu watanzania na vizazi vyetu.

Naipenda Tanzania [emoji1241]
Kuwa mzalendo
Sisi ni wamoja wa Tanzania mojaView attachment 2003436

 
Mwendazake nn,kaharibu kabila la watu wakat yeye alkuwa mrundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…