Mkuu,Tetesi: MIJADALA YA MASUALA YA DINI
TUMIA AKILI HATA ZA MKE WAKOKumekuwa na mijadala mingi isiyokuwa na Afya kwa masuala ya Dini humu majukwaani. Tatizo la hiyo mijadala ni watu kuleta mada ambazo ni porojo bila ushahidi wowote huku wakiaminisha watu kuwa ni mafundisho ya dini fulani.
NASHAURI: Ili jukwaa lionekane lina wachangiaji wenye maarifa (wasio wajinga); tuchangie mada za dini zile zenye ushahidi kutoka kitabu husika (Biblia au Quran). Mtu akija na porojo zake sijui hadithi imesimuliwa na nani au sijui tamthilia nk nk tumpuuze!
Kwa kufanya hivyo tutaliheshimisha jukwaa kwa kulifanya lionekane lina watu wenye maarifa. Watu wanaotaka kuujua ukweli na sio WATU WAJINGA WANAO AMINI KILA WANACHOSIKIA!
Kumbuka: Mtandao umefikia watu wengi kwa haraka sana huku ulimwengu wa tatu, hata wale ambao wangehitaji muda kidogo wa kujifunza namna ya kwenda nao hawakupata hiyo fursa.....tuwasaidie!
Kwa lugha hizi, wallah ukifa tunaoa mke wako..!! Maana haya mambo ya kusema Nikifa MkeWangu Asiolewe tumegundua wewe hayakuhusu.TUMIA AKILI HATA ZA MKE WAKO
Tetesi kivipi?
Amini vitabu vyote ila sio kurani,mana mule kumejaa hadithi za sungura na fisi.Kumekuwa na mijadala mingi isiyokuwa na Afya kwa masuala ya Dini humu majukwaani. Tatizo la hiyo mijadala ni watu kuleta mada ambazo ni porojo bila ushahidi wowote huku wakiaminisha watu kuwa ni mafundisho ya dini fulani.
NASHAURI: Ili jukwaa lionekane lina wachangiaji wenye maarifa (wasio wajinga); tuchangie mada za dini zile zenye ushahidi kutoka kitabu husika (Biblia au Quran). Mtu akija na porojo zake sijui hadithi imesimuliwa na nani au sijui tamthilia nk nk tumpuuze!
Kwa kufanya hivyo tutaliheshimisha jukwaa kwa kulifanya lionekane lina watu wenye maarifa. Watu wanaotaka kuujua ukweli na sio WATU WAJINGA WANAO AMINI KILA WANACHOSIKIA!
Kumbuka: Mtandao umefikia watu wengi kwa haraka sana huku ulimwengu wa tatu, hata wale ambao wangehitaji muda kidogo wa kujifunza namna ya kwenda nao hawakupata hiyo fursa.....tuwasaidie!
Maisha yalivyo magumu niache kutafuta pesa nianze kubishania dini za kigeni? Nitakua mjinga wa mwisho aiseeeKumekuwa na mijadala mingi isiyokuwa na Afya kwa masuala ya Dini humu majukwaani. Tatizo la hiyo mijadala ni watu kuleta mada ambazo ni porojo bila ushahidi wowote huku wakiaminisha watu kuwa ni mafundisho ya dini fulani.
NASHAURI: Ili jukwaa lionekane lina wachangiaji wenye maarifa (wasio wajinga); tuchangie mada za dini zile zenye ushahidi kutoka kitabu husika (Biblia au Quran). Mtu akija na porojo zake sijui hadithi imesimuliwa na nani au sijui tamthilia nk nk tumpuuze!
Kwa kufanya hivyo tutaliheshimisha jukwaa kwa kulifanya lionekane lina watu wenye maarifa. Watu wanaotaka kuujua ukweli na sio WATU WAJINGA WANAO AMINI KILA WANACHOSIKIA!
Kumbuka: Mtandao umefikia watu wengi kwa haraka sana huku ulimwengu wa tatu, hata wale ambao wangehitaji muda kidogo wa kujifunza namna ya kwenda nao hawakupata hiyo fursa.....tuwasaidie!
Mkuu we hujakaa vijiwen. Unafkr kwann story za vijiwez znanoga sana. N kwsbb hazina quotation na mistari. Mf mpige story halafu jamaa aanze zile "mfano warumi sura ya 4 mstari wa22 " vp utaendelea kumsikiliza?Kumekuwa na mijadala mingi isiyokuwa na Afya kwa masuala ya Dini humu majukwaani. Tatizo la hiyo mijadala ni watu kuleta mada ambazo ni porojo bila ushahidi wowote huku wakiaminisha watu kuwa ni mafundisho ya dini fulani.