KATUMBACHAKO JF-Expert Member Jul 3, 2012 399 108 Dec 9, 2012 #1 Kushuka kiwango cha Elimu na mazingira mabovu ya Elimu,Je serikali haijui uendeshwaji wa taasisi za elimu au AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA?
Kushuka kiwango cha Elimu na mazingira mabovu ya Elimu,Je serikali haijui uendeshwaji wa taasisi za elimu au AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA?
K katalina JF-Expert Member Apr 4, 2012 262 55 Dec 10, 2012 #2 Nadhani mada ingekuwa 'kushuka kiwango cha elimu , tatizo nini' ili kutoa wigo mbana kwa wadau kuchangia kuliko ulivyoiweka wewe ikiambata na 'leading answers'.
Nadhani mada ingekuwa 'kushuka kiwango cha elimu , tatizo nini' ili kutoa wigo mbana kwa wadau kuchangia kuliko ulivyoiweka wewe ikiambata na 'leading answers'.