Joel Kimbisa
2010-09-01
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi machoni, wala asiye mzembe wa kufikiri, anaalikwa asome kwa uangalifu na azingatie makala hii na awashirikishe ndugu, jamaa na marafiki zake popote pale walipo..
Jazba
Hayo ni matusi kwa watu neutral kama sisi,independent ambao hatukubaliani na either side of the aisle.I wonder wht he gonna do...may be to swallow his words..atapogundua kuwa he is in the NARC/PNU
Majukwaani wanadai tumechoshwa na miaka 50 ya CCM ambayo haikusaidia na kitu na badala yake kumdumaza Mtz......bila kukumbuka kuwa Mwl J.K Nyerere alishawahi kuwa mwenyekiti ndani ya miaka hiyo 50 of CCM failure....kwa hiyo kama CCM failed means Nyerere failed....but still munatufanya tuamini Dr.Slaa ni second after Mwalim katika kulihami taifa...HOW?In which SENSE?
Personally nimechoshwa completely na serikali ya CCM..na solution ipo wazi...kuing'oa madarakani,but am afraid kwamba tunatumia jazba na kukurupuka.
Bado na doubt wisdom ya wapinzani...to me it's but just politics.Nachoka zaidi ninapoona CHADEMA wanatetea kumweka VP mbumbu.....honestly hii ni CHAI.
Sasa kwa mawazao gani wewe unatoa ushauri gani? Inaelekea unajenga hoja yako kwa kuanza kupinga sera za Nyerere. Tunaomba mchango wako.Political fanaticism without substantive input. Huu si muda wa propaganda and political farts, ni muda wa facts.
Tunajua CCM imeoza, tuambie tena, bila kutumia propaganda zitakazo kulenga hisia zaidi ya akili, Dr. Slaa ana uwezo gani kimsingi? Hiyo piece hapo juu imejaa more holes than Swiss cheese.
Nyerere alichukia ufisadi kwa vitendo? Nyerere siye huyu aliyekuwa anahamisha mafisadi kutoka sehemu moja kuwapeleka nyingine hata baada ya kupewa ushahidi tosha? Nyerere alifavor free education Chuo Kikuu? Hivi umeisikiliza hotuba ya Mei Mosi Mbeya 1995 kuhusu his views on that?
Na hapo ni mwanzo tu, ukiendelea unakutana na utumbo kama huo paragraph after paragraph. Mpinzani wa kweli Tanzania ni yule anayeweza kupinga hata siasa za Nyerere. Ukishaingia katika hero worship ya Nyerere tu upinzani wako unatiliwa shaka kwa kuwa superficial.
The piece, I am afraid, is long on rhetoric and short on facts. A mile wide and not even an inch deep.
Sasa kwa mawazao gani wewe unatoa ushauri gani? Inaelekea unajenga hoja yako kwa kuanza kupinga sera za Nyerere. Tunaomba mchango wako.
Mchango wangu ni kwamba, ukileta kitu hapa kiwe kimefanyiwa utafiti na kina data accurate, otherwise kitasemwa kwamba ni utani na propaganda. Kama unataka upinzani nenda kwenye mizizi ya mambo, including Nyerere.
Huwezi kusema unataka kuwapa watu fulani elimu ya bure bila kujali haja zao wakati hata huyo Nyerere mwenyewe champion wa UPE alikuja kusema kashindwa kutetea elimu ya bure bila kuangalia haja kwa sababu Tanzania sasa ina mamilionea.
Data zako ambazo zinatetea hoja zako ziko wapi? Kwa mfano elimu ya bure inawezekana au haiwezekani? Kutoa hoja ni kuanzisha mjadala ambao unatakiwa uwe na mahala pake pindi utakapohitajiwa. Kitu cha maana ni kumuuliza utaitoaje hiyo elimu bure? Au tutajengaje uwanja wa kimataifa Kigoma, au tutapelekaje meli Mbeya nk. nk.Mchango wangu ni kwamba, ukileta kitu hapa kiwe kimefanyiwa utafiti na kina data accurate, otherwise kitasemwa kwamba ni utani na propaganda. Kama unataka upinzani nenda kwenye mizizi ya mambo, including Nyerere.
Huwezi kusema unataka kuwapa watu fulani elimu ya bure bila kujali haja zao wakati hata huyo Nyerere mwenyewe champion wa UPE alikuja kusema kashindwa kutetea elimu ya bure bila kuangalia haja kwa sababu Tanzania sasa ina mamilionea.
Utashangaa ukiuliza na kuambiwa wanachama wa Chadema ni wachache sana humu. Suala sio chama hapa, bali ni mambo muhimu yanayowagusa Watanzania na Chadema inaonekana kuwa ndio wanaotetea wananchi. CCM ingefanya hivyo, Chadema hawangekuwa na mengi ya kuongea!JF uwanja wa propaganda za chadema!! Mitazamo neutral inakua vigumu watu kuiona sasa...
Data zako ambazo zinatetea hoja zako ziko wapi? Kwa mfano elimu ya bure inawezekana au haiwezekani? Kutoa hoja ni kuanzisha mjadala ambao unatakiwa uwe na mahala pake pindi utakapohitajiwa. Kitu cha maana ni kumuuliza utaitoaje hiyo elimu bure? Au tutajengaje uwanja wa kimataifa Kigoma, au tutapelekaje meli Mbeya nk. nk.
Tutajie mafisadi waliolindwa na kukingiwa kifua wakati wa Nyerere!