dada angu asikuongopee mtu, huyo jamaa amekuambia yanayotoka moyoni bila kuficha au kutumia lugha za kungátangáta, najua ulitaka kuambiwa kwa lugha tamu lakini maneno hayo hayo anayoyasema lakini ki ukweli moyoni amekusudia kusema hayo.
hapa nataka kusema nini, kuishi katika ndoa ni kuchunguzana kila kitu na kufahamiana katika kila angle nini unapenda na nini mwenzio anapenda, wakati mwingine mtanakiwa kujaribu yote kujua unafurahia karibu vingi ndani ya mwenzako ( si lazima vyote mana hakuna aliye mkamilifu)!! hasa sex ni kitu muhimu saana kukijua kabla hujaingina ndoani..
nakuuliza, unamnyima saizi vipi ukiingia ndani ya ndoa ukamkuta hafanyi kazi vizuri au hasimamishi barabara? au vipo ukiingia ndani ya ndoa ukamkuta ni wale ambao saizi yake haikufikishi kunako?(maana amini hapa duniani watu wameumbwa kwa saizi mbalimbali sema siku hizi tu wanachakachua, yule aliyeumbwa kupokea small size siku hizi anapokea XXXXXX large), hapo si ndo utaanza kutoka nje kutafuta vingine? kwa nini usijue sasa kama unamfurahia kunako sita kwa sita?
si hili tu, haya yanapaswa kufanyika katika kila kitu, kuangalia kama mna hobby zinazoendana, kama mnaelewana mnapopanga mambo, kama mnasikilizana kama mkiambiana, kama mnarekebishika kama mkirekebishana... usipoyajua haya itakula kwako mbeleni na mtaishia kuachana. watoto wa siku hizi sio kama wale wa enzi za mwalimu utandawazi umewaharibu sana so inahitajika kuwafanhamu vizuri sana kabla ya kuoa!! hujiulizi kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu? yote haya yanachangia nakuambia
ushauri: nendeni mkapime kabla ya yote na jaribu pia uonekama unaridhika naye kitandani, ukiona fyne, usimpe mara kwa mara na jaribu pia kuangalia katika mambo mengine ukiona nako safi ongea naye kimahaba zaidi kuharakisha ndoa... usimforce katika hilo usije ukapeperusha njiwa