PATOXIC Member Joined Nov 28, 2011 Posts 63 Reaction score 34 Apr 22, 2012 #1 Kwanza nitangulie kusema CHEDEMA tumekata rufaa lakini hatuachi taadhali ya kujipanga tukishindwa. Kama wadau tusaidieni akiomba ridhaa ya chama sisi wadau wa Chama hapa A town tumfikirie tusaidieni makamanda. Nawasilisha.
Kwanza nitangulie kusema CHEDEMA tumekata rufaa lakini hatuachi taadhali ya kujipanga tukishindwa. Kama wadau tusaidieni akiomba ridhaa ya chama sisi wadau wa Chama hapa A town tumfikirie tusaidieni makamanda. Nawasilisha.