Mwasapile JF-Expert Member Joined Apr 20, 2020 Posts 215 Reaction score 454 Aug 6, 2022 #1 Karibuni katika maonyesho ya nanenane Dodoma. Tuna matrekta aina ya Lovol kuanzia HP25-HP90 2wd/4wd Tunauza kwa mkopo na cash. Kwa mswali zaidi piga/tuma msg namba upewe maelekezo zaidi 0717217520 Attachments IMG_6177[1].JPG 1 MB · Views: 10 WNYS4015[1].JPG 913.4 KB · Views: 13
Karibuni katika maonyesho ya nanenane Dodoma. Tuna matrekta aina ya Lovol kuanzia HP25-HP90 2wd/4wd Tunauza kwa mkopo na cash. Kwa mswali zaidi piga/tuma msg namba upewe maelekezo zaidi 0717217520
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,190 Reaction score 43,514 Aug 6, 2022 #2 Mnauzaje mkuu?, kazi nzuri
Mwasapile JF-Expert Member Joined Apr 20, 2020 Posts 215 Reaction score 454 Aug 6, 2022 Thread starter #3 financial services said: Mnauzaje mkuu?, kazi nzuri Click to expand... Unataka trekta la HP ngapi!?
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,190 Reaction score 43,514 Aug 6, 2022 #4 Mwasapile said: Unataka trekta la HP ngapi!? Click to expand... Nashauri ungeweka maelezo kidogo kuhusu hizo aina kwamba linafaa kwa kazi zipi ngumu or rahisi kidogo na bei yake, ili watu wakipita wanapata full details na kufanya maamuzi.
Mwasapile said: Unataka trekta la HP ngapi!? Click to expand... Nashauri ungeweka maelezo kidogo kuhusu hizo aina kwamba linafaa kwa kazi zipi ngumu or rahisi kidogo na bei yake, ili watu wakipita wanapata full details na kufanya maamuzi.