omary mziray112
Member
- Sep 12, 2018
- 11
- 0
habari zenu, nimemaliza form6 nahitaji kusoma diploma ya kilimo je naweza kupata ufadhili wa masomo yangu ya kilimo na chuo.marks zangu ni
GEOGRAPHY-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-E
BAM-S
GENERAL STUDY-S
nilimaliza form6 tangu 2016 nlikosa chuo pamoja na mkopo wa kusomesha na hali yangu ni duni brazaSoma degree mdogo wangu vigezo unavyo, diploma ni kupoteza muda
nilimaliza advance tangu 2016 niomba chuo ila sikufanikiwa kupata na haliyangu kiuchumi sio nzuri kwa sasaKwanini usome diploma wakati vigezo vya bachelor degree unavyo
pole sana kaka ila sifa ya kusoma degree unayo kabisanilimaliza advance tangu 2016 niomba chuo ila sikufanikiwa kupata na haliyangu kiuchumi sio nzuri kwa sasa
2016,matokeo mepesi umeshindwa kufaulu unajaza 'vi d'tupu.shule ulienda kucheza kusoma?habari zenu, nimemaliza form6 nahitaji kusoma diploma ya kilimo je naweza kupata ufadhili wa masomo yangu ya kilimo na chuo.marks zangu ni
GEOGRAPHY-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-E
BAM-S
GENERAL STUDY-S
naona umeamua kumtolea uvivu2016,matokeo mepesi umeshindwa kufaulu unajaza 'vi d'tupu.shule ulienda kucheza kusoma?
naona umeamua kumtolea uvivu
D ni 50-59,acha dharau2016,matokeo mepesi umeshindwa kufaulu unajaza 'vi d'tupu.shule ulienda kucheza kusoma?
Asante kwa ukweli wako kaka ila me naomba ushauri samahani ka usumbufuUkweli asiufanye uadui.
Nenda kwenye ofisi za wilaya za ccm tatizo lako litapatiwa ufumbuzihabari zenu, nimemaliza form6 nahitaji kusoma diploma ya kilimo je naweza kupata ufadhili wa masomo yangu ya kilimo na chuo.marks zangu ni
GEOGRAPHY-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-E
BAM-S
GENERAL STUDY-S