Maombi ya kazi

Rosati

Senior Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
104
Reaction score
69
Salamu kwenu wana Jf. Vijana wengi kwasasa tunafaa kujiajiri na kufanya kazi bila kubagua. Dhana hii isitumike kama kigezo cha kutokuomba au kutuma maombi ya kazi katika mashirika binafsi na/au serikalini.

Swali. Hivi wakati gani mzuri wa kutuma maombi ya ajira au kazi:

1. Punde tu tangazo linapotoka

2. Muda mfupi baadae, siku za katikati

3. Mwishoni kukaribia tarehe ya mwisho ya tangazo (deadline).
 
Mimi kama mfalme wa Goguryeo nashauri kutuma maombi ya kazi mapema iwezavyo na c kusubiria deadline Kwa sababu mwalimu wangu mmoja aliniambia wanapo-shortlist ......mfano wanafungua emails .....wakifikia idadi wanayoitaka wa "kushortlistiwa" wanakomea hapo....hata kama emails zilizofata zina watu wanaokidhi vigezo .....
 
Muda mzuri ni mwanzoni, japo muda sahihi ni ule uliotulia ukasoma tangazo kulielewa na kutuma maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…