P PANDIT92 Member Joined Aug 9, 2019 Posts 29 Reaction score 7 Nov 15, 2019 #1 Habarini za asubuhi. Nina ndugu yangu amesomea masuala ya uhasibu na ana Diploma ya Accountancy anaomba kazi ya Cashier au uhasibu. Please tumsaidie
Habarini za asubuhi. Nina ndugu yangu amesomea masuala ya uhasibu na ana Diploma ya Accountancy anaomba kazi ya Cashier au uhasibu. Please tumsaidie
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 Nov 15, 2019 #2 Amefanya juhudi gan binafsi kabla ya kuja kuomba msaada huku? Me nashauri atoe copy za kutosha CV na certificates zake then asambaze kwenye ofisi mbalimbali aombe hata intern/kujitolea ajira ngumu sana hasa kama huna connection
Amefanya juhudi gan binafsi kabla ya kuja kuomba msaada huku? Me nashauri atoe copy za kutosha CV na certificates zake then asambaze kwenye ofisi mbalimbali aombe hata intern/kujitolea ajira ngumu sana hasa kama huna connection