Wakikuambia unganisha ziunganishe kwenye pdf moja, ila Kama hujaambiwa ziattach separately
Ipi ni best option kati ya njia hizi...?Kama hawajakwambia weka kwenye pdf moja, basi weka hivi cover letter, cv, masterz/degree/diplo certificate, kisha merge transcriot+secondary cert, other attachments nazo weka kivyake kwenye pdf moja.
Ushauri wangu n chukua hilo la kwanza, mara nyingi kama wanataka ziwe sehemu moja hua wanasema ila wasiposema bc weka separated, mara nyingi kazi za serikalini wanataka ziwe separated ila private ndo haieleweki.Ipi ni best option kati ya njia hizi...?
Ni attach moja moja au nimerge hizo transcript+sec certificates halaf zingne ziwe mojamoja (Kama sijaambiwa ku attach)
pointNadhani ukiweka all documents in a single PDF is the best kwasababu .
ukidownload document moja ni rahisi kureview badae kuliko ikiwa mojamoja, mwajiri anapata usumbufu wa kuunganisha document mojamoja na kama mjuavyo unadownload kitu kinajiandika jina lenye manamba kibao sasa ni usumbufu kwahiyo usisubiri uambiwe, simplicity is genius.
haya,ni mawazo yako mkuu na si ya kila mtu. kama wanataka uweke kwenye file moja lazima watakwambiaNadhani ukiweka all documents in a single PDF is the best kwasababu .
ukidownload document moja ni rahisi kureview badae kuliko ikiwa mojamoja, mwajiri anapata usumbufu wa kuunganisha document mojamoja na kama mjuavyo unadownload kitu kinajiandika jina lenye manamba kibao sasa ni usumbufu kwahiyo usisubiri uambiwe, simplicity is genius.
Maelekezo muhimuhaya,ni mawazo yako mkuu na si ya kila mtu. kama wanataka uweke kwenye file moja lazima watakwambia
hayo yalikua mawazo yangu tu mkuu, najua kuweka document mojamoja ni rahisi sana, na watu wengi wanapenda vitu rahisihaya,ni mawazo yako mkuu na si ya kila mtu. kama wanataka uweke kwenye file moja lazima watakwambia