leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,716 Oct 6, 2018 #1 Naulizia utaratibu wa kuomba hati ya kiwanja, ni hatua zipi na gharama kiasi gani unalipia. Sitegemei kutoa wala kupokea rushwa,ni mpango wa halali bin halali!
Naulizia utaratibu wa kuomba hati ya kiwanja, ni hatua zipi na gharama kiasi gani unalipia. Sitegemei kutoa wala kupokea rushwa,ni mpango wa halali bin halali!