MAOMBI KWA WANAJF .

aweson93

Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
11
Reaction score
2
Wanajf Naomba kwa wanaofahamu jinsi Wafanyakazi wanavyoajiriwa katika mashamba ya katani yaani Malipo na Kama wanaajiri wakati huu kwa uzoefu wa miaka iliyopita.
 
Itategemea unataka kaz gan mashambani humo ikitokea nafas zipo wanakuchukua malipo utaambiwa muhim kaonane na estate manager au bwana shamba wa estate husika
 
Itategemea unataka kaz gan mashambani humo ikitokea nafas zipo wanakuchukua malipo utaambiwa muhim kaonane na estate manager au bwana shamba wa estate husika
Kazi ninayotaka upalilizi pamoja na ukataji katani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…