Kula tani[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Leta Kapombe..
Bakisha Mkude..
Bakisha Ajibu..
Bakisha Kichuya..
Tafuta Elias Maguri..
Ondoa Mavugo..
Labda ngoma ya mdumange au kibao kata,lakini kama unamzungumzia Ngoma striker andikeni mmeumia sababu Ngoma hajazoea mpira wa mchangani na pia hawazi kujichanganya ma mambumbumbu sababu yeye ni Wakimataifa.Safi bado ngoma
Hatutati mamlukiSafi bado ngoma
Bukungu vipi,mbona nasikia katemwa?Leta Kapombe..
Bakisha Mkude..
Bakisha Ajibu..
Bakisha Kichuya..
Tafuta Elias Maguri..
Ondoa Mavugo..
Inashangaza,si tuliambiwa wanakula vizuriMasikini azam kuna nini hasa
Waache waka manulianeKwa hiyo simba ina:-
1. Manula
2. Manala