Mr Kaptenovela
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 621
- 618
Pimbi kabisaMANULA NI MUOGA NA MOYO WAKE NI YANGA
Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Simba , nimemfuatilia kwa karibu manula kwa mechi alizocheza na yanga ni dhahiri hakubali yanga kufungwa, hivyo yeye ni mmoja wa wachezaji wanaoisaidia Simba kufungwa, hii imedhibitishwa na magoli aliyofungwa duru la kwanza na mechi ya Leo Yana ufanano, hii mechi alipaswa kudaka kakolanya na siyo huyu , manula ni kipa mzuri kwenye mazoezi na si kwenye derby Kama hii.
Huyu dhahiri pamoja anaichezea Simba sports club ila moyoni mwake ni yanga.
Hali kadhalika kocha mkuu hafai kwani ni mtu asiyechukua maamuzi sahihi kwa wakati kwa kutokufanya substitution mapema.
Nashauri manula asipangwe Hadi msimu uishe wa duru la pili, pia kocha mkuu amalizie msimu aende zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza toa mchango wako bila kumvunjia heshima, hakutaka azaliwe katika hali ile kama ambavyo wewe umezaliwa bila ulemavu wa Ngozi , yote ni mapenzi ya MunguMsisingizie manula, hilo zeruzeru lenu ndio limetutia hasira tukaamua kuupiga mwingi
mdomo wake unanichefuaMkuu unaweza toa mchango wako bila kumvunjia heshima, hakutaka azaliwe katika hali ile kama ambavyo wewe umezaliwa bila ulemavu wa Ngozi , yote ni mapenzi ya Mungu
Simba Kwa Sasa haina Mshambuliaji wa Kiwango cha Simba.Swali je forward kina Boko na Kagere walikuwa wapi?
Mkude siku zote kwenye mechi ya Simba na yanga anacheza rafu nyingi za makusudi na kiwango Cha uchezaji wake kinakuwa kidogo, huyo naye naamini ni yanga, wachezaji wawili hao wakiendelea kupangwa watatusababishia kufungwa mechi nyingi, wana tamaa, GSM iliwapa chochote.na Mkude nae ni Yanga asipangwe.
Terstergen apo anatoaUle mpira ata angekua kipa bora kabisa duniani asingeweza kufanya lolote, mpigaji alipiga bananachop/ ndizi, tena pembeni kabisa juu ivi Manula ni nani mbaka aucheze mpira ule.
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati hata sura yake haumfahau .Katika historia ya soka ni kipa mmoja tu toka Colombia ambaye angeweza kuokoa goli lile.
Nado ni mtu sahihi kulik kahata na Luis combinedSimba Kwa Sasa haina Mshambuliaji wa Kiwango cha Simba.
Sijui kwanini Benchi la ufundi limeshindwa kabisa kutafuta washambuliaji vijana hata Wakitanzania wenye kiwango hata cha Iddi Selemeni NADO.
Kamwe Mzee Boko na Mzee Kagere hawawezi kutumainiwa Kwa Mechi ngumu, kama Ile ya Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hao Simba hawapashwi kufungwa kabisa, mbona akina Man U, Man City, Barcelona, Bayern nk wanafungwa? Acheni ushamba.Hii ni kama kipindi Cha Hassan kessy alipokuwa anaichomesha Simba, kipindi hiki ni mkude na manula, hakika Hawa ni yanga
Sent using Jamii Forums mobile app