Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 319
Mkuu hata sie huku bulongo hiyo haipo hata wanawake hawajui unyunyu wanajua mamisNasubiri majibu inaweza ikawa kweli, ila hii imekaa sana mjini sio kule kwetu koromije[emoji38]
Wewe utakuwa sio wa kizazi hiki, MAMISMkuu hata sie huku bulongo hiyo haipo hata wanawake hawajui unyunyu wanajua mamis
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] wherever cyo!!Mwanaume akiwa ananukia vizuri na kavaa vzuri basi moja kwa moja binafsi namchukulia kama mtanasharti na siyo harufu iwe kali au zile harufu za common body spray aka smart collection au rasasi..Bali anukie kitu adimu na kiwe breathtaking yaan you call fall in love kwa harufu tu nzuri cuz hiyo inaweza kuwa symbol kwamba anajipenda na inawezekana akawa msafi pia..Na pia huwa usafi wa gari says it all ikiwemo harufu nzuri siyo unapanda gari la jamaa linanuka mijasho and wherever..