Mansour bin Zayed bin Sultan bin Zayed bin Khalifa Al Nahyan..

Hawa wakifikiria kifo wananuna sana..nasikia hzo merikebu wanaenda nazo katikati ya bahari..huko ni pombe na ngono tu
 
Huyo uwezi kumsikia anajitapa kuwa ana hela.Sasa subiri Mshana Jr auze Nazi na mananasi yake Msata uzani was Suzuki Carry!!
 
Huyo uwezi kumsikia anajitapa kuwa ana hela.Sasa subiri Mshana Jr auze Nazi na mananasi yake Msata uzani was Suzuki Carry!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee! Nmecheka sana
 
Huyo uwezi kumsikia anajitapa kuwa ana hela.Sasa subiri Mshana Jr auze Nazi na mananasi yake Msata uzani was Suzuki Carry!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ataenda kupost kule jf chef kwenye uzi wa vyakula atatupia mafoto anakula mbuzi choma mara kitimoto yani ni fujo tupu!!
 
1 Tim 6:7 ndio msitari muhimu kwa kila mwanadamu anayetaka kujilimbikizia mali humu duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ