Mara nyingi watu wanalalamika kuwa wanatoa michango ya uzoaji taka lakini taka hazizolewi.Alafu ukifuatilia manispaa utakuta kuna mzabuni ana tenda ya kukusanya taka na anakusanya michango ya kuzoa taka kama kawaida chini ya vitisho vya wagambo wa jiji....